NYIMBO ZA MISA NA ZABURI: MTUNZI PD. RICHARD KIMBWI

Misa ya Mt. Charles. (Misa hii nimetunga kwa ajili ya

kumbukumbu ya marehemu mdogo wangu Charles Jelas Kimbwi aliyefariki

mwaka 2005. Mungu aiweke Roho ya marehemu Charles mahali pema peponi,

apumzike kwa amani- AMINA)

Bwana utuhurumie.

Mtakatifu.

Mwanakondoo

Baba yetu.

 

 

Nyimbo nyingine

Bwana atawabariki(Zaburi)

Bwana ni mfalme(Zaburi 93:1-2,5)

Kumbuka rehema zako(Zaburi 25:4-9) sauti

Mbele ya miungu nitakuimbia(Zaburi)

Nalifurahia waliponiambia(Zaburi 122:1-5)

Nimefufuka ningali pamoja nawe(Pasaka)

Nimeona maji(Kunyunyuziwa maji/Mkesha wa pasaka)

Tumeingia nyumbani mwa Bwana(Mwanzoni misa)

Twakushukuru ee Mungu Baba(Kushukuru)

Waipeleka Roho yako(Zaburi 104:1,24,29-31,34, (K) 30. Pentekoste)

Wastahili kusifiwa(Dan. 3:52-56)

Watu waliposikia Yesu anakuja(Jpili ya Matawi)

Yesu alipoingia mji mtakatifu.(Jpili ya Matawi)

Bwana ni nuru ya uzima wangu(Zaburi 17:1-7-9, 13-14)

Macho yangu humwelekea Bwana(Zaburi 25:15-16)

Ee Mungu uniumbie moyo safi(Zaburi 51:1-2, 10-13 (K) 10)

Bwana alitutendea mambo makuu (Zab.126,(K)3)

Kristu alijinyenyekeza (Filp. 2:8-9)

Shukuruni Bwana (Zab. 118:2-4, 13-15, 22-24 (K)1)