FADHILI MASIFU COMMUNITY GROUP

(Swahili)
Asante kwa kuendelea kuiamini na kuitumia MASIFU 2 na BIBLIA KATOLIKI, Apps za “Masifu Community Group".
<>

Ndugu! Wakati wa utumiaji wa Apps hizi, makosa mbalimbali ya kiuandishi yamegundulika, ambayo tumeweza kuyarekebisha. Tunawashukuru wale wote waliotujulisha makosa hayo.
Utekelezaji wa maboresho katika App hizi ni jambo la kiufundi, lakini la muhimu sana kwetu ni Masifu 2 na Biblia Katoliki, apps hizi zipatikane kwa wote.
Uvumilivu wako na imani yako hututia moyo kuendelea kuziboresha Apps hizi.
Tunakuomba sana usaidie kazi hizi ziendelee. Katika hili tunatazamia sana mchango wako. Kila mchango hutusaidia sana kulipa gharama za wahudumu wetu wa (Masifu Community Group) na gharama nyingine kama za server na aptoide store zinamohifadhiwa app hizi na kuwezesha wengine kuzipakuwa toka huko bila malipo.
Hata hivyo tunamshukuru sana mfadhili wetu aliyekubali kugharamia gharama zote za Apps hizi kwa muda wa miaka miwili, hadi Masifu 2 na Biblia Katoliki kufikia hivi zilivyo. Mwezi Desemba 2025 ufadhili wake ulifikia mwisho. Tunamshukuru sana! Tunaamini kwa mchango wako tutaweza kuendelea kutoa huduma hii kwa ndugu zetu wakristo.

<>

--------------

(English)
Thank you for continuing to trust and use MASIFU 2 and BIBLIA KATOLIKI Apps of ”Masifu Community Goups""
<>

During the use of these Apps, various typing errors have been discovered, which we have been able to correct. We thank all those who reported those errors to us and were able to correct them.
Implementing improvements to these Apps is often a technical matter, but for us the most important thing is to make them more accessible to all. Your patience and trust encourage us to continue improving these Apps.
We ask you to support this work. We look forward to your contribution. Every contribution helps us greatly to cover the costs of the staff of (Masifu Community Group) and other costs such as servers and the aptoide stores where enables others to download these Apps from there for free.
However, we are very grateful to our sponsor who agreed to cover all the costs of Masifu 2 and Biblia Katoliki for a period of two years (Dec.2023-Dec.2025), until these apps reached their current state. Thank you very much! We believe that with your donation we will be able to continue providing this service to our Christian brothers and sisters.

<>

--------------